[Soafstaff] PEPMIS
pamba.siajali at udsm.ac.tz
pamba.siajali at udsm.ac.tz
Tue Jul 9 10:47:41 EAT 2024
Wanataaluma wote,
Kufuatia zoezi la ujazaji wa malengo katika mfumo wa PEPMIS, mwaka
unaofuta tusingependa turudie makosa ya kujaza task na subtask nyingi.
Hivyo basi tumeona ni vema kuwa na tasks chache kama ifuatavyo:
Task 1:Teaching undergraduate and postgraduate courses
subtask- Teaching AF 111, AF 112, AQ 45 etc (Ingiza kozi zote za
undergraduate na postgraduate kwa mwaka mzima wa masomo).
Note: Utaripoti kwa utakachokuwa umekifanya kwa wiki, mfano, umetoa
test, umekwenda field, umetoa mtihani etc
Task 2: Supervision undergraduate and postgraduate students
Subtask: At least xxx undergraduate and xxxx postgraduate students
supervised
Note: Utaripoti shughuli zote za usimamiaji kwa wiki husika
Task 3: Conducting research
Subtask 1: At least xxx research conducted
2: At least xx articles published
Task 4: Carrying out public services
Kwa wale ambao wanaratibu shughuli mbalimbali za kiutawala
(ccordinators) ongeza task 5:
Task 5: Carrying out administrative duties.
Naomba tuanze kujaza malengo mapya.
Asanteni
Pamba, S
UDSM
-------------- next part --------------
An HTML attachment was scrubbed...
URL: <http://lists.udsm.ac.tz/pipermail/soafstaff/attachments/20240709/dd793a9c/attachment.html>
More information about the Soafstaff
mailing list