[Soafstaff] PEPMIS
blugendo at udsm.ac.tz
blugendo at udsm.ac.tz
Mon Jul 8 14:08:20 EAT 2024
Habari wana SoAF
Tunatakiwa kuanza kujaza tasks na subtasks kwenye mfumo wa PEPMIS as
soon as possible.
Wakuu wa Idara watawapatia muongozo wa jinsi ya kujaza. Mkishapokea
muongozo tafadhali mjaze kwa haraka. Mfumo huu unasimamiwa na Ofisi ya
Rais Utumishi hivyo endapo watafunga wakati hujakamilisha ujazaji wa
malengo yako utaathiri tathmini ya utendaji sio wako tu na wa taasisi
kwa ujumla. HIVYO TUNAOMBWA TUJITAHIDI KUJAZA KATI YA LEO NA KESHO
(WAKUU WA IDARA TUSAIDIE HILI TAFADHALI)
Blandina
-------------- next part --------------
An HTML attachment was scrubbed...
URL: <http://lists.udsm.ac.tz/pipermail/soafstaff/attachments/20240708/095c4224/attachment.html>
More information about the Soafstaff
mailing list