<html><head><meta http-equiv="Content-Type" content="text/html; charset=UTF-8" /></head><body style='font-size: 10pt; font-family: Verdana,Geneva,sans-serif'>
<p>Habari wana SoAF</p>
<p>Tunatakiwa kuanza kujaza tasks na subtasks kwenye mfumo wa PEPMIS as soon as possible.</p>
<p>Wakuu wa Idara watawapatia muongozo wa jinsi ya kujaza. Mkishapokea muongozo tafadhali mjaze kwa haraka. Mfumo huu unasimamiwa na Ofisi ya Rais Utumishi hivyo endapo watafunga wakati hujakamilisha ujazaji wa malengo yako utaathiri tathmini ya utendaji sio wako tu na wa taasisi kwa ujumla. HIVYO TUNAOMBWA TUJITAHIDI KUJAZA KATI YA LEO NA KESHO (WAKUU WA IDARA TUSAIDIE HILI TAFADHALI)</p>
<p>Blandina</p>
</body></html>